Mafanikio yapo katika pembe(angle) nyingi katika maisha.
Mafanikio nini, kila binadamu ana tafsri yake kuusu mafanikio, mwengine ana amini kuwa na pesa nyingi ni mafanikio, mwengine kuwa na furaha ndio mafanikio.
Mafanikio yapo katika angle tano muhimu ambazo ukielewa utakuwa na mafanikio ya...
UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu
1. Kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa,
2. Kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa
3. Kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha,
4. Kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku...
Inawezekana kutoboa ila unahitaji nguvu kubwa sana mana unakuwa huna backups kutoka kwa mjomba shangazi wala mamkubwa.
Kuna wengine wanapewa mitaji na ndugu
Wanapewa connection na ndugu
Hata wakikwama wanapewa support na wazazi wao ni rahisi kufanikiwa
Oya tupambane sio rahisi
nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali
Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12
Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.