kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Tanga: Sekiboko awataka Wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais Samia ambaye ni suluhu ya matatizo

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko amewataka Wanakilindi na Wanatanga kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, anayetarajia kuanza ziara mkoani hapa tarehe 23 Februari, 2025. Akizungumza katika ziara yake...
  2. PreGE2025 Wananchi Arumeru Magharibi wasema mbunge wao ni mzigo, ameshindwa kutekeleza ahadi ya ujenzi wa barabara

    Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu MBUNGE wa eneo hilo kuwa mzigo kwa wananchi hao kwakushindwa kutekeleza ahadi yake ya Ujenzi wa Barabara...
  3. PreGE2025 Ramsey: CCM Arusha Mwiko kusema mitano tena kwa mbunge na diwani

    CCM mwiko kusema mitano tena kwa mbunge na diwani. Mitano tena ni kwa Rais Samia Suluhu tu kwa madiwa na wabunge mwendo wa ngiri mkia juu. Hayo yamesemwa na Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  4. PreGE2025 Balozi Dkt. Nchimbi: Kuna watu wameanza kuwapa fedha wajumbe waache mara moja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo kwenye maeneo yao na kupitia kampeni zenye nia ya kuchafuana, hivyo amewataka waache mara moja kwani...
  5. PreGE2025 Mjumbe Kamati Kuu CCM, Mamuya: Hakuna anayeweza kushindana na Dkt. Samia

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Halima Mamuya amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa na mpinzani katika uchaguzi mkuu wa 2025 kwa sababu licha ya kwamba ni Rais lakini pia ni Mama mlezi wa Taifa. Amesema...
  6. W

    PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA Mwanza kupinga kutoweka kwa Katibu wa BAVICHA yapigwa marufuku

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limefanikiwa kudhibiti maandamano ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika siku ya leo katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza hasa katika wilaya ya Ilemela na Nyamagana. Akizungumza na waandishi wa habari...
  7. PreGE2025 Shamira Mshangama: Vijana lazima tuyaseme makubwa yanayofanywa na Dkt. Samia

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Tanzania Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Simiyu...
  8. PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hakuna mgombea ubunge kupita bila kupingwa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama wanaotaka nafasi za uongozi wanaanza kupitisha fomu ili watangazwe kuwa Wagombea pekee ambapo amesema...
  9. PreGE2025 Zanzibar: Serikali kufikisha huduma za afya kwenye visiwa vidogo

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kumaliza matatizo ya kiafya wanayokabiliana nayo Wananchi wanaoishi katika Visiwa Vidogovidogo kwa kufikishwa katika matibabu kwa wakati ili kupunguza vifo vinavyoweza kuepukika ikiwemo vya...
  10. PreGE2025 Rais anazipa Simba na Yanga pesa kila goli (Goli la Mama), anazitoa wapi? Msigwa ajibu "Pesa anazotoa ni ndogo"

    Wakuu Mmesikia majibu ya Semaji la Serikali Msigwa? Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amemjibu kuhusu hpla za 'Goli la Mama' kwa timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga ambazo hutolewa kama motisha baada ya kufunga goli kwenye michuano ya Kimataifa
  11. PreGE2025 Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, waishukuru serikali kwa kuwajengea shule ya sekondari

    Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama, kwa kujenga shule ya sekondari katika eneo hilo ambayo imeondoa adha kubwa iliyokuwa ikiwakumba wanafunzi kulazimika...
  12. PreGE2025 Mahakama yaamuru Dkt. Slaa kufikishwa Kisutu Machi 4 ili kutolewe uamuzi wa kesi inayomkabili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo itakuwa inasikilizwa kwa njia gani. Uamuzi huo ulitolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu...
  13. Katibu Wazee CCM: Mbunge miaka mitano tu analipwa hela nyingi kuliko mtumishi aliyetumikia miaka 40

    Katibu wa Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha, Mzee Amimu Ngalawa, ameomba serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu, akisema kiasi wanacholipwa ni kidogo na hakiendani na muda waliotumikia kulinganisha na marupurupu wanayopata wabunge baada ya kuhudumu kwa miaka mitano pekee...
  14. PreGE2025 Ally Hapi aonya viongozi Miungu watu akiwataka kuacha kuwaonea wananchi na kupora mali zao

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu Ally Hapi, ametoa onyo kali kwa viongozi wa Serikali za vijiji wanaotokana na CCM, akiwataka kuacha tabia ya kujiona miungu watu kwa kuwaonea wananchi na kupora mali zao. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  15. PreGE2025 CCM yawahimiza vijana na madereva wa Boda boda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura

    Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) CCM Zanzibar Ndg. Khadija Salum Ali amefanya zoezi la kuhamasisha Madereva wa Boda boda Saateni (Pinda Mgongo) juu ya suala la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura 2025 (Awamu ya Pili) Wilaya ya Amani...
  16. PreGE2025 Team Mbowe baada ya kuangukia pua uchaguzi sasa hivi wanaiomba Serikali waifutie usajili CHADEMA ili wote wakose

    Ameandika Hilda Newton "Tulienda kwenye Uchaguzi wenzetu walikuwa na msemo wao unasema ‘UKIPIGWA HAKUNA KUHAMA CHAMA’ wakiamini kwamba Mhe. Lissu na Heche watapigwa na wakipigwa hawatabaki ndani ya Chadema." "Mungu si Athuman Mhe. Lissu na Heche wakashinda sasa wale wale waliokuwa wanatuambia...
  17. PreGE2025 John Mnyika adai kuna hujuma za kuyumbisha harakati za 'No Reforms No Election' kufuatia pingamizi la uteuzi wa vigogo nane CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika, amedai kuwa kuna juhudi za kuhamisha mwelekeo kutoka kwenye kampeni ya 'No Reforms, No Election'. Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Mnyika amesisitiza kuwa maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA yaliyofanyika tarehe 22 Januari 2025 ni halali, kwani yalihusisha...
  18. PreGE2025 Arusha Mjini: Mrisho gambo azungumza na wazee kuhusu uhamasishaji wa kutoa elimu nishati safi

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo anazungumza muda huu lengo ni Uhamasishaji wa Kutoa Elimu a Nishati Safi kwa Viongozi wa Baraza la Wazee Arusha Karibu kufuatilia kinachoendelea. https://www.youtube.com/live/jEzBkft9o9g?si=uw038dewWr2M8B72 Akizungumzia ushirikishwaji wa kundi la wazee...
  19. PreGE2025 Dkt. Slaa kurejea Mahakamani Kisutu leo, Mbivu, mbichi kesi ya kusambaza uongo kujulikana

    Kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika Mtandao wa X inayomkabili mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Willibrod Slaa (76) itatajwa leo Jumatano, Februari 19, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Dk Slaa anadaiwa kutenda kosa hilo chini ya kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao namba...
  20. W

    PreGE2025 Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi CCM- Mhandisi James Jumbe, ajinasibu kuwa CCM itashinda 2025

    Yani kila mwaka CCM sera zao ni maendeleo sekta ya afya na elimu, miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado sera zao wanazoona zitawapitisha ni kama za miaka ya 70 huko. Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ===...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…