Aliyekuwa Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo Wilaya ya Songea, Bi Grace Mallya, tarehe 19/5/2025 ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza wakati wa kutangaza uamuzi huo, Bi Grace alisema ameamua kuhamia CCM kutokana na kuvutiwa na jitihada...
Uzee ni muda wa kutubia, kuungama na kutumia kile ulichochuma wakati wa ujana wako. Sio muda wa kutafuta dhambi na maadui wapya bali kutafuta watu wengi zaidi wataokuzika siku ukifa.
Kazi mliyompa Mzee Wasira ya uwenyekiti wa CCM bara ni kazi nzito sana kwa Mzee kama Wasira aliyelitumikia taifa...
Leo ni siku ambayo imekuwa busy sana wakuu, huku watu wanatekwa huku wengine wanazuilwa mahakami yani imekuwa tafrani. CCM kama inajiamini kwa nini inafanya haya yote? Kwanini wasitulie
===
Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu amezuiliwa kuingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.