kuchanganya siasa na dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Zacharia: Mungu wabariki Watanzania wote wakakipigie Kura CCM kishinde kwa kishindo

    Si walitulikubaliana haitakiwi kuchanganya siasa na dini, imekuaje tena Mchungaji anapiga kampeni kabisa? Mchungaji Zacharia Samsoni, baada ya kupewa nafasi ya kuombea katika mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe wanasiasa wanaruhusiwa kuchanganya siasa na dini?

    Alichokifanya mwanasiasa Samia Suluhu Hassan leo kumbe kinaruhusiwa au ndiyo mkuki kwa nguruwe? Mimi ni Ponjoro ila kwahili HAPANA.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Lema asema Gwajima alitakiwa kupewa kesi ya uhaini, asema amefanya kitu kibaya hauwezi kuchanganya siasa na dini

  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Joseph Butiku: Siasa isichanganywe na dini

    Siasa isichanganywe na dini, sisi tunasema dini iheshimike, dini inakubalika, dini iachiwe nafasi kwa mujibu wa taratibu za dini" -Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Makanisa yamegeuzwa grounds za siasa Kenya. Why not Mosques/Islams?. Even in Tanzania

    Probably the mosque/islam is the true religion known and nominated by God Himself. If you go to Kenya probably in Tanzania as well, churches have been grounds for politics. If you remember when Magufuli was still alive, almost every Sunday the governmental issues were aired through/in the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…