Familia ya NEEMA inaendelea kusisitiza, Nurse Kwa mara ya Kwanza alimletea NEEMA mtoto akiwa kwenye Kanga nyingine ( Hapa Mtoto anaweza kua alikua ndie ila tu Kanga zilichanganywa).
Baada ya NEEMA kuhoji Kanga si zake, mtoto huyu Ndani ya kanga zisizo za NEEMA, akarudishwa Kwa Mzazi mwingine...
Tukio la mwanamke kubadilishiwa mtoto baada ya kujifungua hospitalini limeibua mjadala mpana kuhusu uaminifu wa huduma za afya kwa akina mama. Ingawa linaonekana kama tukio la nadra, linaweza kutufumbua macho kuhusu uwezekano wa matukio mengine ya ajabu, kama madai ya wanawake kujifungua mawe au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.