Wana jamiiforums karibuni katika uzi huu kwa kushirikishana mikasa au matukio uliyofanyiwa au kumfanyia mpenzi wako hadi kupelekea mahusiano yenu kuvunjika na kuitana dear x.
Mimi nitaanza na wakwangu kamaifuatavyo.
Wanasema mapenzi ni kama utando wa buibui—unaweza kudhani umejenga nyumba...
Unatumia njia gani kuachana na mpenzi wako au rafiki yako kama imefikia hatua unaona hamuendani au unaona kabisa huyo mtu huwezi kutoboa naye mbele ya safari?
Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini?
Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada.
Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
Habari zenu wana JamiiForums.
Nimekuwa mfuatiliaji wa hili jukwaa kwa muda mrefu lakini kwa sasa nimeamua kujiunga kabisa ili niwe nachangia maoni mbalimbali,
Leo nahitaji maoni yenu kwa wale(wanaume) walioamua kuwapiga chini wapenzi wao wa muda mrefu waliokuwa wamepanga mipango na kuahidiana...
Kuna dada mmoja nahisi sijui kaniroga au vipi. Kwani kwa mwezi mmoja sasa katika mapenzi yetu keshanifanyia vitimbi 90 vya kila aina, lakini kila nikiwaza tu kumfukuza kesho yake basi nashangaa ghafla upendo unazidi maradufu kwake.
Na kuna siku nakumbuka nilimfukuza na kwenda kwao Kyaka Nkude...