kozi ya kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hidden Diamond

    Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  2. Hidden Diamond

  3. joku

    Naomba ushauri kati yw kozi zifuatazo: Medical laboratory na uwalimu wa sayansi wa masomo ya (chemistry na mathematics)

    Habari zenu jamani Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana na nilimpata three ya 24 selection zimetoka mwaka huu nimepangiwa nikasomee uwalimu wa sekondari ngazi ya diploma wa masomo ya sayansi (chemistry na mathematics). Halafu Kuna mtu kanishauri niachanana uwalimu nikasomee...
  4. M

    Msaada: Ushauri kuhusu chuo cha kusoma na kozi yake

    Msichana kachaguliwa DIT-Bachelor in Computer Engineering na MUST-Bachelor of Technical Education in Civil Engineering. Je mnamshauri athibitishe kujiunga na chuo kipi kati ya hivyo?
  5. F

    Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

    Habari Ndugu wana jamii forum Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4 ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya 1. Political science and public administration 2.law 3. Law enforcement 4. Social work Zinahusu nini kiundani...
  6. K

    Ushauri wa kozi ya kusoma

    Msaada tafadhali, Mtoto amepata Div one ya points 4 kwa combination ya PCM. Je kozi gani ya engineering itamfaa? Na chuo kipi?
  7. Tariq gabana

    Kwa matokea haya, mwanangu akasome kozi gani atakayopata ajira?

    Jamani Kuna mwanangu ana 4 ya 27, akasome kozi gani ambayo mbele zipo Ajira na kitu ambacho kazi rahisi kupata ata kujiajiri? Matokeo yake yako hivi: Math: F History: D Civics: D Kiswahili: C English: C Bio: D Geography Eti, akasomee nini apate ajira?
Back
Top Bottom