kombe la shirikisho afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika 2025/2026 kufanyika leo mchana nchini Tanzania

    Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali. Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv. Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
  2. Waufukweni

    Droo ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kupangwa Agosti Dar

    Shirikisho la soka Afrika (CAF) limepanga kufanya droo ya hatua ya awali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2025-2026 jijini Dar es Salaam, Tanzania. CAF imeamua kufanya droo hiyo kabla ya Agosti 12, 2025. Awamu ya kwanza ya mechi za mashindano hayo itakuwa...
  3. JanguKamaJangu

    Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) tangu Mwaka 2000

    Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Tangu Mwaka 2000 2025: Simba / Berkane ? 2024: Zamalek SC (Misri) 2023: USM Alger (Algeria) 2022: Berkane (Morocco) 2021: Raja Club Athletic (Morocco) 2020: Berkane (Morocco) 2019: Zamalek SC (Misri) 2018: Raja Club Athletic (Morocco) 2017: TP...
  4. Waufukweni

    Matukio na safari ya Kikosi cha Simba kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2025

    Mkutadha: Kikosi kilivyotua airport tayari kuanza safari ya kuelekea Morocco mchezo wa fainali ya CAFCC Kikosi cha Simba SC kimeanza safari yake kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) mwaka 2025 dhidi ya RS Berkane. Mechi hiyo...
  5. JanguKamaJangu

    Hizi ndio fedha ambazo Simba na timu nyingine zitapata katika Kombe la Shirikisho Afrika 2025

    Bingwa $ 2,000,000 (Tsh. Bilioni 5.3) Wa pili $ 1,000,000 (Tsh. Bilioni 2.6) Nusu Fainali $ 750,000 (Tsh. Bilioni 2) Robo Fainali $ 550,000 (Tsh. Bilioni 1.4) Wa 3 Kundini $ 400,000 (Tsh. Bilioni 1) Wa 4 Kundini $ 400,000 (Tsh. Bilioni 1) $ ni Fedha ya Dola CHANZO: CAF Michuano ya Kombe la...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Rais Samia abeba gharama za Simba Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025...
  7. Waufukweni

    CAF wairuhusu Simba SC kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa michezo ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa ruhusa kwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kutumika kwa michezo ya robo fainali na nusu fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC) kwa msimu wa 2024/2025. Ruhusa hii imekuja baada ya ukaguzi wa...
  8. Greatest Of All Time

    Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

    Jioni ya leo pale Mjini Doha nchini Qatar kutafanyika droo ya robo fainali kwa mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa upande wa michuano ya Kombe la Shirikisho la CAF (CAF Confederation Cup) msimu wa 2024/2025 timu zilizofuzu kwa droo hii ni: Simba SC...
  9. Waufukweni

    Kibu Denis: Mwanga upo kuhakikisha kwamba Simba tunachukua ubingwa wa CAF

    Nyota wa Simba Kibu Denis anasema hawana mechi ya nyumbani wala ugenini na kuna dalili kwa timu yao kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na upambanaji wao. "Katika malengo yetu msimu huu moja ni hilo la kubeba ubingwa wa Afrika na naamini kwa uwezo wa timu yetu...
Back
Top Bottom