kodi ya magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  2. Billnas: Nililipa 700 milioni kama kodi ya magari yangu ya kutembelea mwaka jana tu

    Msanii bilnas amedai KUWA anamiliki gari la MILIONI mia SITA, IKIWA ni MOJA ya magari yake aliyo nayo HUKU akidai MWAKA JANA pekee kalipa Kodi ya magari yake MILIONI mia Saba. HUKU akilipia MILIONI KUMI na mbili HADI MILIONI ishirini KWENYE bima TU ya hayo magari. Kwishaaa Bro Alex on la...
  3. T

    Kodi tunayotozwa kwenye magari ni kubwa mno kwani inaendaga wapi? Mbona sioni impact yake kwenye uchumi?

    Kwa wanaojua mchakato wa kununua gari nchini Tanzania hadi kukamilisha taratibu zoote za usajili, huwa gharama zinakuwa almost sawa na nusu ya bei ya gari ukilinganisha na nchi ilikotoka. Na kama hujatembea nchi za wenzetu unaweza usielewe namna sisi tunavyokamuliwa makodi makubwa. Mfano ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…