kocha wa yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli tulihitaji kocha mwenye njaa ya mafanikio, ila sio wa kuja kupata uzoefu kwetu. Huyu mjerumani sina imani naye

    Kiukweli mechi ya kwanza tu tayari ameshaonyesha anapwaya. Haihitaji akae bench mechi 10 kujua ubovu wake. Huyu jamaa amekuja kuandika CV yakekwamba nayeye alipita Yanga, sio kuja kutupa uzoefu wa kazi yake. Kipindi cha pili kaingiwa uoga wa nini sijui kaamua kubaki nyuma shenzi type. Mimi...
  2. JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga, Ramovic aingia ubaridi, asema ni mara yake ya kwanza ligi ya Mabingwa

    Kuelekea katika mechi za kimataifa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Sead Ramovic, amezungumza na waandishi wa Habari, akisema! "Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Oruma: Kocha wa Yanga hafiki Krismasi

    "Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua kila kitu na wametumia nguvu kubwa kumbakisha Stephane, Pacome na Mzize na malengo yao ni kufika mbali...
  4. JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga, Ramovic: Kwenye timu yangu sitaki pombe, sitaki wachezaji wa kujirusha

    Sasa itakuwaje wakuu. Sead Ramovic kocha mkuu Yanga SC aliwahi kuzungumza katika moja ya mkutano na waandishi wa Habari Afrika Kusini alisema; "Kwenye timu yangu sitaki Pombe, sitaki wachezaji kufanya party na pia sitaki mtindo wa maisha wa kutokujali na kama utataka kufanya haya nitakutoa."...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Mwinyi Zahera ni bilionea? Nimemkuta mtaani gari yake imeishiwa mafuta

    Kipindi Yanga inajitafuta kabla GSM hajaokoa jahazi. Kipindi yanga iko hoi kiuchumi kulikuwa na huyu kocha Mwinyi Zahera, tuliambiwa kuwa alikuwa akuwanunulia chakula Yanga na kulipa posho pale zinapochelewa. Tukaambiwa ana apartment ufaransa na ubelgiji. Baada ya Yanga kumtema nilisikia...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga raha sana kuanzia Kocha mpaka wachezaji wote wana furaha, tazama video hii

    Hakuna timu nyingine utamkuta kocha ana furaha na wachezaji wake kama alivyo Gamondi. Kwa furaha hii, tuendelee kuiona Yanga ikichukua mataji baada ya mataji. Na Jumamos ijayo Vital'O ya Burundi itakula goli nyingi sana pale Chamazi. . Makolozidadi endeleeni kununa.😛😛😛
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…