Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuelekea pambano la Knockout ya Mama Season 6 ambayo itafanyika kesho Viwanja vya Posta Kijitonyama Jijini Dar...