Japokuwa ni wachache waliofanya huu upuuzi. Lakini kwa ujumla Gen Z ni kizazi cha hovyo kabisa hapa nchini.
Yaani mtihani wa taifa mtoto anajibu matusi ya nguoni!
Maandamano ya Gen Z kutoka Kenya hadi Morocco, Nepal hadi Peru, na sasa Madagascar, yamekuwa yakitikisa mitaa na mitandao. Kundi hili la vijana limekuwa na mada kuu tatu wanazozisukuma kwa nguvu: uwajibikaji wa viongozi, mabadiliko ya kijamii, na usawa wa kiuchumi. Aidha, wamekuwa wakisisitiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.