kituo cha sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PostGE2025 LHRC: Wafanyakazi wetu wamevamiwa na kunyang'anywa vitendea kazi usiku wa Novemba 12

    Kupitia ukurasa wa mtandao wa instagrama Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imetoa taarifa ya kuhusu wafanyakazi wake kuvamiwa jana Novemba 12, 2025 wakati wakiendelea na majukumu yao katika Hoteli ya Whitesands Jijini Dar es Salaam ambapo walinyanganywa vitendea kazi na leo Novemba...
  2. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Yasikitishwa na Matukio ya Utekaji na Kupotea kwa Watu Nchini

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinasikitishwa na kuendelea kwa matukio ya utekaji na kupotea kwa watu nchini. Tukio la hivi karibuni la kutoweka kwa Ndugu Humphrey Polepole na mengine yanayofanana nalo yanaibua maswali mazito kuhusu usalama wa wananchi na uwajibikaji wa vyombo vya...
  3. Kituo cha sheria na haki waelezea uchaguzi ndani CHADEMA na CCM

    Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Anna Henga amesema Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umefanyika kwa Haki na Uwazi, kinyume na matarajio ya wengi kutokana na mnyukano uliokuwepo mitandaoni kabla ya siku ya Uchaguzi wenyewe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…