kituo cha afya bunju

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    KERO Kituo cha afya Bunju kinatoza gharama kubwa kwa wamama wajawazito kwenye kliniki zao za kwanza hadi za mwisho. Huu ni wizi!

    Kituo cha Afya cha Bunju kimekuwa kikitoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi, hasa katika upande wa kliniki za wajawazito. Mbali na utaratibu kuwa mbovu, pia kuna kutoza gharama kubwa zisizoeleweka. Kwa mfano, mama mjamzito anapoenda kliniki ya kwanza, anatozwa kiasi kikubwa cha fedha tofauti...
Back
Top Bottom