kiredio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kiredio na Vee Dollar: Hivi Mapenzi Hufia Kwenye Mafanikio au Umasikini Ndio Unaounganisha Watu?

    Mtengenezaji wa maudhui maarufu mtandaoni, Kiredio, ameingia kwenye trending kufuatia madai ya kuachana na mpenzi wake, Vee Dollar. Baada ya taarifa hizo kuibuka, baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameanza kusambaza video zao za zamani, zilizorekodiwa kipindi ambacho Kiredio na Vee...
  2. JamiiForums Tanzania Lokole; Kiredio anasema vee kabadilika hamsikilizi

    Mtangazaji na mwanamitandao maarufu nchini Tanzania, Juma Lokole, kupitia kipindi cha Wasafi FM, ameanika siri nzito na kuthibitisha kuwa mahusiano ya kimapenzi kati ya waundaji maudhui Kiredio na Vee Dollarz yamevunjika rasmi takribani miezi mitatu iliyopita. Lokole ameeleza kuwa amechoka...
  3. JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…