Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema haiwezekani taifa likapata amani ya kudumu ikiwa haki za kikatiba za wananchi na vyama vya upinzani zinaendelea kukandamizwa. Amesema viongozi wa serikali na vyombo vya dola wanapaswa kutambua kuwa amani ya...