Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne lakini Wizara ya Kilimo hata kututembelea na kutupa msaada hakuna, sasa nashindwa kuelewa nini kauli...
Anonymous
Thread
kijiji
kilimokilimochaumwagiliaji
kivuko
kusafirisha
maji
mpwapwa
tuna
umwagiliaji
wakati
wakati mgumu
Kijiji cha Lunguza
Kata ya Lunguza
Wiraya ya Lushoto
Mashamba yapo
0772582186, bei Kati ya laki na nusu, laki mbili mpaka laki tatu kutegemeana na shamba , yapo ya kumwagia kwa pump na yapo ya kutumia maji yanayotoka mlimani bila pamp ,
Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo serikali za CCM zitatilia mkazo wa kuinua kilimo cha umwagiliaji.
Amesema ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025/30...
ampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, ambapo baadhi ya wakazi wametoa ombi kwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bahati Ndingo, kusimamia agenda ya upatikanaji wa ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.
Ombi hilo limeibuliwa...
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bibi. Devotha Minja, ameanza ziara yake mkoani Tabora ya kuomba kura za wananchi kukipa ridhaa chama hicho kuongoza Tanzania huku akikiahidi wakiingia madarakani kukibadili kilimo hapa nchini, kuwa cha umwagiliaji kuachana na...
Kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kilimo cha kubahatisha kwa wakulima kutokana na mvua zisizo za uhakika, serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeanza kuchimba visima virefu vya maji hamsini kwa ajili ya matumizi ya kawaida na viwili kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji mkoani...
Nina shamba ekari 15 lililopo Mbeya. Natafuta mtu wa kuunganisha naye nguvu tufanye kilimo cha alizeti.
Kilimo cha umwagiliaji pia kinaweza kufanyika kwakua shambani kuna miti inayotoa maji.
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imesaini mkataba wa ununuzi wa mitambo ya kuchimba visima virefu na kampuni ya utengenezaji mitambo hiyo ya Uturuki iitwayo Acarkardesler, ambapo mitambo hiyo itagharimu Dola za Kimarekani...
Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia kuboresha maisha yao na kuleta mabadiliko ya kijamii.
Kupitia vipindi kama Nijuze, tunaendelea...