Kama umekua ukihangaika kuanzisha kilimo cha tikiti maji lakini hufahamu pakuanzia, basi makala hii ni mahususi sana kwako.
Nasema hivo, kwa kua nimekua nikilima matikiti kwa muda mrefu tangu 2020 na hapa nitatiririka na misingi 5 ambayo itakuasaidia wewe kuanzisha mradi wa kilimo cha tikiti...
Habari za Asubuhi wadaunwa sekta ya Kilimo,
Naomba kuuliza je ni siku ngapi mbegu ya tikiti ya sugar queen F1 toka hutumia hadi kutoka ardhini maana ya kwangu ni siku ya tisa bado haijatoka na nimeanzà kupata mashaka ushauri wàdau 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.