Jamani habari za sahizi nduguzangu,
Nimepanga kuingia katika kilimo cha mpunga, kuna rafiki yangu mmoja kanambia kwa kilipo cha mpunga kahama kina lipa hasa maeneo ya Mwendakulima. Sasa swali langu ni kuna mtu mwenywe uzoefu au anayejua zaidi kuhusiana na hayo mawazo. Maana hata huyo rafiki...
Kwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa gharama mkubwa Kwa wale wanaokodisha
Kwa uzoefu nilio nao mfano mikoa wa Mbeya wilaya ya Mbalari...
Nahitaji kufahamu mambo muhimu kuhusu mashamba ya kukodi kwa mkoa wa mbeya mahususi kwa kilimo cha mpunga
Taafifa kama
1.Bei ya kukodi
2.maeneo mazuri ni wapi ( location)
3.usafirishaji wa mavuno (miundombinu ya barabara )
4. Aina nzuri ya mbegu
5.hatua za kilimo
6. Changamoto za kawaida...
"Kwanza nianze na wachungaji, Sadaka hazipo Madhabahuni. Mungu Amesema atabariki kazi ya mikono yako. Utajiri wote upo kwenye ardhi. Madini yanapatikana kwenye ardhi, mafuta yanapatikana kwenye ardhi, ndio maana Mungu anamwambia Adamu: 'Uilime uitunze ili ule matunda yake.' Kwa hiyo ninachoweza...
Wakuu nipeni ushauri. Wilaya gani mkoa wa Mwanza inatoa mpunga wa uhakika na maeneo mazuri kwa ajili ya kilimo cha mpunga.
Soma pia: 60% ya mazao ya Afrika ni Ngano, Mahindi na Mpunga, japo kuna mazao mengi yanayoweza kustawi Afrika na kuondoa magonjwa ya lishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.