kilimo cha mahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nadharia: Kuna uwezekano wilaya moja ikitengwa kulima mahindi na maharage, watanzania wote tunaweza kula ugali maharage bure mpaka kiama?

    Mfano wilaya kubwa ya huko Ruvuma, Lindi, Mneya, n.k. igeuzwe iwe ya kulima mahindi na maharage tu Kuna uwezekano watu wakapata uhakika wa mlo moja kila siku ?
  2. JamiiForums Tanzania Kulikoni mradi wa kilimo Cha mahindi wa Jakaya Kikwete wayeyuka?

    Huyu mzee si akalime Kama zamani? Hapa ni 2017 alijifanya analima kumbe anapanga mambo yake. Huyu mzee😀😀
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye utaalamu wa kilimo cha mahindi ya popcorn

    Habari zenu wana jukwaa poleni na harakati za mchana kutwa. Nahitaji kujua namna haya mahindi ya kutengeneza bisi yanavyolimwa. Hali ya hewa ya eneo, udongo ambao unarutubisha na mengine yote ambayo napaswa kiyazingatia kwenye kilimo hiki. Na je kwa mikoa ya kusini MTWARA yanaweza kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

    Nawakumbusha tuu Baadhi ya mambo ambayo Serikali ya Rais Samia imeyafanya kwenye Kilimo Ili Kuzalisha Kwa Wingi na Kwa Tija. Soma zaidi hapa Tanzania Yaipiku Nigeria Kama Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika.Maono ya Rais Samia Kufanya 🇹🇿 Ghala La Chakula Afrika Kutimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…