Tulipoanza kutengeneza Fuga App, hatukutaka kubahatisha kile wafugaji wanahitaji.
Ndiyo maana ndani ya app tumeweka kitu rahisi sana.
Kama kitu kinakusaidia, tuambie.
Kama kuna sehemu inakuzngua, tuambie.
Kama una wazo la kuboresha Fuga App, tuambie.
Una wazo? Una Swali, Kuna sehemu...