Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesema hakubaliani na dhana kwamba taifa linaweza kutajirika kwa kulima dawa za kulevya. Amesema mitazamo hiyo haina mashiko kwani inaleta madhara makubwa kijamii, kiafya na kiusalama kwa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.