Tukija kwenye suala la shuleni, mimi niwe mkweli, Sikuwa na uwezo wa kufundishwa na mwalimu pekee darasani, pia kujisomea ilikuwa taabu, nimeanza kujisomea form 2.
Nashukuru wazazi waliweza kunipigania nisome english medium lakini hii pia isingezaa matunda kama ningeachwa nisome kivyangu...