kikosi cha simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    Kikosi cha Simba kinachosafiri kwenda Eswatini kuwakabili Nsingizini Hotspurs mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

    Klabu ya Simba SC imeweka wazi kikosi chake kitakachosafiri leo Oktoba 16, 2025 kuelekea nchini Eswatini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nsingizini Hotspurs, utakaochezwa Oktoba 19, 2025. Katika orodha hiyo, jina la goilikipa Moussa Camara, Alassane Kanté, Mohammed...
  2. Waufukweni

    Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?

    Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu. Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
  3. M

    Shida kubwa ya kikosi cha Simba ni quality ndogo ya wachezaji na siyo uchovu wa mechi. Ratiba kama yao Yanga aliipitia 2023/2024!

    Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata kidogo! Maana ya kikosi kipana sio kuwa na rundo la wachezaji tu ni kuwa na wachezaji wanaolingana ubora...
  4. Waufukweni

    Matukio na safari ya Kikosi cha Simba kuelekea Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2025

    Mkutadha: Kikosi kilivyotua airport tayari kuanza safari ya kuelekea Morocco mchezo wa fainali ya CAFCC Kikosi cha Simba SC kimeanza safari yake kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) mwaka 2025 dhidi ya RS Berkane. Mechi hiyo...
  5. CAPO DELGADO

    Ijue historia: kikosi cha simba msimu wa 2024-2025 kilichofuzu fainali za kombe la shirikisho barani africa cafcc. 2025

    Kikosi cha Simba SC kwa msimu wa 2024/2025. KILICHOFUZU KUCHEZA FAINALI ZA SHIRIKISHO BARANI AFRICA CAFCC 2024-205. kinajumuisha wachezaji kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya wachezaji na nchi zao: GOLIKIPA 1. Mussa Camara🇬🇳 2. Aishi Manula 🇹🇿 3. Ally...
  6. M

    Kocha wa Simba ateue mchezaji (Captain) mwenye hamasa na timu na angalau anayejua lugha ya kingereza kuongea na mwamuzi

    Ubaya Ubaya! Katika mechi ya dhidi ya Al Masry, Simba imefanyiwa vitendo vya dhulma kwa kunyimwa penalty wakati Ateba amefanyiwa faulo na golikipa wa Al Masry. Tegemeo langu lilikuwa ni kumuona angalau kapteni shabalala akihamasisha wachezaji wenzake wamlazimishe refa kwenda kuangalia kwenye...
  7. Ubaya Ubwela

    Hiki hapa kikosi cha Simba kinachosafiri kwenda Misri, No Che Malone

    Kwenye kikosi cha Kwanza ni Che Malone pekee aliyeachwa kwa sababu ya majeraha
Back
Top Bottom