kikao cha kamati kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwenyekiti wa CCM aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo Februari 25, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026.
  2. Dkt. Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu, Zanzibar

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar tarehe 25 Januari, 2026.
  3. GE2025 Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma leo 23 Agosti, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.
  4. E

    Heche aongoza kikao cha Kamati Kuu CHADEMA. Wajadili barua ya Msajili

    Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
  5. Picha: Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatatu tarehe 26, Mei 2025.
  6. Kikao cha kamati kuu ya CHADEMa leo si halali kwa kuwa nusu ya wajumbe wake walitenguliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa

    Kamati kuu ya chadema ya leo haina coram, ni sawa na kikao cha harusi au birthday. Maamuzi yatakayotoka sio halali. Nashauri ipelekwe kesi Mahakamani kuzuia wasikae kikao kwa niaba ya chama
  7. Tishio la CHAUMMA ndio limefanya Chadema waitishe kikao cha kamati kuu kwa dharura leo?

    Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu. Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao...
  8. Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  9. Kikao Cha Kamati Kuu, kwenye Habari ya Maridhiano, Mbowe akiri alifanya kosa kubwa

    Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na viongozi wenzake kuwa maridhiano yalikuwa na faida na dhamira njema. Leo kila mmoja ana uhakika...
  10. CHADEMA kufanya Kikao Maalum kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama Mikocheni

    Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kwa Waandishi wa Habari hii hapa Kesho tarehe 11 Septemba 2024 mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe atakuwa na kikao maalum na viongozi wa Chama na Mabaraza wa ngazi zote wa Kanda ya...
  11. Mpya: Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.
  12. L

    Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa June 29-30

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, ataongoza vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa Tarehe 29 na 30...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…