Kwanza,ni kweli Kihongosi amesema hivyo?
Kwa sababu hawa ²wana habari wa Kenya hawaeleweki wanayozungumza.
Halafu Lissu anaweza vipi kujitokeza kama bado yupo jela?.
Halafu Jumuiya ya Commonwealth unataka uchunguzi,( ambayo tayari unafanyika), lakini na wao wanataka kufanya uchunguzi wao,pia...