Polisi wa kutuliza ghasia wasababisha kifo cha kijana mmoja aliyekuwa kwenye maandamano ya kudai haki kifo cha Ojwang na hivyo kuongeza hasira ya wananchi dhidi ya ukatili wa polisi
Video inayosambaa mtandaoni inawaonesha askari 2 wa kutuliza ghasia wakimfuata kijana muuza barakoa wakionekana...
Inspekta Generali kwa niaba ya Jeshi la Polisi Kenya ameomba radhi kuhusu ripoti iliyotolewa na polis kuwa Ojwang' alikufa baada ya kujigonga mwenyewe ukutani alipokuwa gerezeni
Asema ripoti hiyo ilikuwa ya uongo, kifo chake hakikusababishwa na kujigonga mwenyewe ukutani na kwamba anaomba radhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.