kifo cha ndugai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Mapya yajitokeza kuhusu Kifo cha Ndugai, Yadaiwa alipanga kugombea tena Uspika

    Taarifa ya MwanaHalisi imeeleza Wanaccm Hawaachiani Maji ya kunywa mezani- Kikwete
  2. J

    Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

    Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Mwigulu: Ndugai alihimiza ulipaji kodi

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, Jumamosi ya tarehe 09 Agosti 2025 amefika nyumbani kwa marehemu Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, eneo la Njedengwa jijini Dodoma, kwa ajili ya kutoa pole na kusaini kitabu cha maombolezo. Soma Pia: Job Ndugai...
  4. Determinantor

    GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Nimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake
  5. The Burning Spear

    Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) uchuro wa taifa

    Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD) UCHURO WA TAIFA: Tuzinduke. Nianze kwa kutoa salaam zangu za pole kwa familia ya hayati Job Ndugai. Pole kwa Ofisi nzima ya Bunge (Kupitia Katibu wa Bunge). Pole kwa Mh. Rais. Pole zaidi kwa taifa letu kutokana na msiba huu. Kuna kitu kisicho cha kawaida...
  6. Erythrocyte

    Dodoma: Serikali yakiri Watu kushangilia Kifo cha Ndugai, ila yasema itawaeleza vijana kwamba hilo si jambo zuri

    Hivi ndivyo alivyoeleza Mkuu wa Wilaya ya Kongwa. Zaidi huyu hapa Swali letu ni hili, unadhani kwanini kifo cha Ndugai kimeshangiliwa badala ya kuwa Huzuni kama Marehemu wengine wanapofariki akiwemo Maalim Seif na Ally Kibao? ====================== Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Saimon Mayeka...
  7. A

    Wana CCM Kondoa kupinga Ushindi wa Ditopile na Kongwa kushangilia Kifo ina maana kubwa

    Katika siku hizi mbili baada ya Mariamu Ditopile kushinda kura za maoni, kumbuka baadhi ya wapiga kura kupinga Ushindi wake ikiwemo shutuma za Rushwa ambazo hazikuchukuliwa hatua, na madai ya chawa wa Kiongozi wa juu. Hii inaonyesha kwamba wanaopitishwa, wanaenda pale Kwa ajili ya maslahi yao na...
Back
Top Bottom