Ndio man of the match mpaka sasa.. Nyota wa mchezo
Kwa nafasi yake TEC angeweza kuteua mwinginr kuongoza wanazuoni waseja kwenda Dodona ikulu ndogo kukumbushia nyaraka zao za nyuma ama kuzifafanua kwa waliojipachika madaraka
Hiyo inaitwa ... Usiyempenda kaja... Kaongoza vema jopo la wasomi...