kibwengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tunakataaa kuwajibishana kwa maslahi ya nani? Kwanini mpaka leo Viongozi wa Vyombo vya ulinzi wa Usalama wako ofisini?

    Kama wewe ndo ulitoa amri waue watoto wetu, basi jiuzuru wewe wao waendelee kukalia hivyo viti Lakini wao wapo na wewe upo ili Taifa halitopona mkuu achia nchi life lisonge Uliowaua wanalia MIKONOni mwakoooo!
  2. JamiiForums Tanzania Israel vs Iran: Inaenda kutokea "Holly War" ambayo itasababisha "WW III" ambayo italeta "New World Order"

    Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao. Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa "Reason Behind" ya yanayoendelea. Mwaka 2025 huenda ukawa mgumu sana kwa dunia nzima, tujipange kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nilivyo mpiga kibwengo/ndondocha mpaka kumvunja mguu

    Ilikuwa majira ya saa sita usiku natoka zangu kuangalia mpira wa simba yanga naelekea kufuata usafiri ni juzi kati tu hapo basi nikiwa nimetembea kilometa kama 3 hivi nakuanza kuacha hako kakijiji nikiwa ndani ya kamsitu kama mita tano upande wa kushoto wa barabara ndan ya hiko kimsitu kina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…