kesi za rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Zimbabwe: Mamlaka kumchunguza Wicknell Chivayokwa Kesi za Rushwa na Ufisadi

    Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zimbabwe (ZACC), imetangaza kufungua upya jalada la Uchunguzi dhidi ya Mfanyabiashara Wicknell Chivayo kutokana na kuhusishwa kwake na masuala ya Rushwa na Ufisadi katika miradi aliyoifanya na Serikali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ZACC, imeeleza kuwa...
  2. Miss Zomboko

    Rais wa zamani wa Peru, Alejandro Toledo ahukumiwa miaka 20 jela kwa ufisadi

    Rais wa zamani wa Peru mwenye umri wa miaka 78, Alejandro Toledo amehuhukumiwa hapo jana miaka 20 na miezi sita jela kwa kosa la kula rushwa. Hukumu hiyo ni kutokana na kashfa ya ufisadi inayoihusisha kampuni kubwa ya ujenzi ya Brazil, Odebrecht. Mahakama katika mji mkuu wa Lima imegundua kuwa...
Back
Top Bottom