Kesi ya jinai inayowakabili wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la Wachokonozi, Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, Agosti 19, 2025, imeendelea katika Mahakama ya Wilaya ya Meru mbele ya Hakimu Sodeyeka, kwa kusomwa hoja za awali(ph)
Washitakiwa wote wawili walikanusha mashitaka mawili...
Kesi ya jinai inayowakabili wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la Wachokonozi, Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, imeahirishwa kwa mara nyingine tena katika Mahakama ya Wilaya ya Meru na sasa itasikilizwa Agosti 19, 2025 kwa ajili ya hoja za awali.
Washitakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka mawili-...
Leo Julai 21, 2025 wamiliki wa jukwaa la mtandaoni la #wachokonozi Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko, leo wamefikishwa kwa mara nyingine katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa ajili ya kusomewa hoja za awali katika kesi ya jinai inayowakabili, kabla ya kuachiwa huru na kukamatwa tena mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.