kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Historia inaonesha hakuna MTU amewahi kupambana na Lissu akatoka salama

    Wakati wakiulizana nani atamfunga paka kengere . Mnabidi kujua Lissu ndo mwanasiasa pekee ambaye hakuna MTU ameemwahi kupambana nae akamshinda.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Hatma maelezo ya mashahidi wa siri Kesi ya Lissu kusomwa 'live' kujulikana leo Agost 18, 2025

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 18, 2025 imepanga kutoa amri kuhusu kurushwa mubashara kwa maelezo ya mashahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu. Pamoja na hilo, pia mahakama hiyo inatarajiwa kusikiliza maelezo...
  3. JamiiForums Tanzania Hiki ndo huwa kinapiga kelele kwenye kesi ya Lissu Mahakamani wakati anajitetea

    GT Pengine watu huwa mnajiuliza ni kitu gani huwa kinalia kama funguo wakati lisu anajitetea mahakamani pale anapogonga meza. Basi leo nawanyosha ni YESU mfufuka aliyewakomboa watu kwa damu yake katika msalaba mtakatifu na kupitia yeye dhambi zetu zitasemehewa.
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Tunaendaje kwenye Uchaguzi wakati Mpinzani wa Kweli yuko Gerezani?

    Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Naomba hili kwasababu tu niko Gerezani, Gerezani sio mahali pazuri. Angalizo - usimuamini mwanasiasa kirahisi

    Ndugu watanzania, Lissu alipokuwa mwenyekiti wa chadema alitamba kwamba yeye atakuwa wa kwanza kwenda gerezani na akahamasisha vijana wavunje sheria. Leo amekaa kidogo tu gerezani amekiri kwamba gerezani sio mahali pazuri. Namsihi akitoka gerezani asichochee watoto wa wenzake kufanya uhalifu...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Rais Samia, anamuogopa Lissu, akosoa hatua ya kuzuia kesi kurushwa Live

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu, "hatukati tamaa" Heche amewashangaa Mawakili wa Jamhuri kwa kutaka kesi ya Lissu isirushe moja kwa moja kwa kile...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 BAWACHA wakifanya maombi nje ya mahakama ya Kisutu baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa hadi Agosti 18

    Wanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama sio uonevu wa makusudi, Lissu peke yake anawezaje kupanga uhaini wa kupindua serikali? Wahaini wengine walioshirikiana na Lissu wako wapi?

    Unajua serikali yetu hii na chama chake tawala mara nyingine ifikie mahali ione aibu kutumia njia za kimabavu kuonea watu. Ukitaka kuonea watu, basi fanya kwa namna ambayo watu watakuona una akili basi, sio kama mlevi wa pombe kali. Hivi umewahi kusikia duniani mtu mmoja peke yake anapanga...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mvutano mkali wazuka kati ya Polisi na Mwandishi wa Habari Kisutu kwenye Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Mvutano mkali wazuka kati ya Jeshi la Polisi na mwandishi wa habari asubuhi hii Kisutu, kabla ya kuanza kwa usikilizaji wa kesi ya uhaini Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inayomkabili Mwenyekiti wa Chama, Tundu Lissu. Fuatilia mwenendo wa Kesi hapa > Kesi ya Uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, anatarajiwa kutoa uamuzi wa hoja zilizowasilishwa na pande mbili katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Kabla ya uamuzi huo, upande wa Jamhuri utatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri. Katika mapingamizi hayo, upande wa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Godbless Lema: Jambo na Millard Ayo msiogope kutoa ushahidi wa kweli kama Jamhuri itawataka. Mpango dhidi ya Lissu ni mchafu na unaua matumaini

    Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema ameandika kupitia mtandao wa X (zamani Twitter) amewataka Jambo na Millard Ayo wasiwe na hofu ya kutoa ushahidi wa kweli endapo Jamhuri itawahitaji, akisisitiza kuwa ukweli ndio kinga ya kwanza ya haki na kesi zinazohusu dhamiri ya taifa haziwezi...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe: Kesi ya Lissu Watu 300 hawafiki Mahakamani

    James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Lissu, Nshala: Askari Magereza anakujaje Mahakamani amefunika uso Kininja?, Yeye siye ambaye anamshitaki Tundu Lissu

    Wakili wa Tundu Lissu, Rugemeleza Nshala amesema kitendo cha Mahakama kuruhusu Askari Magereza kuingia Mahakamani wamejifunika Kininja ni kinyume cha Katiba. "Inakuaje mahakama ambayo ni muhimili huru inakubali kuingiliwa na askari magereza" Soma > Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Ni tatizo kuiruhusu CCM iendelee kuiongoza nchi hii, ni kuua nchi hii

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Kisheria Juu ya Kesi ya Tundu Lissu na Muelekeo wa Mahakama Nchini Tanzania

    Utangulizi Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwanasheria na Mwanasiasa mashuhuri nchini, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Katika ufuatiliaji huu, kwa masikitiko makubwa, nimejikuta nikitafakari nafasi ya Mahakama katika jamii ya kidemokrasia. Mahakama ambayo...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

    Wakuu! Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Hakimu Franco Kiswaga: Hakuna sababu ya shauri hili kuahirishwa kila wakati, akionya Upande wa Jamhuri kusuasua kwao kila siku Kesi ya Lissu

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, ameahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hadi tarehe 13 Agosti 2025, huku akitoa onyo kali kwa upande wa Jamhuri kutokana na kusuasua kwao mara kwa mara. Akizungumza baada ya maombi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…