kesi ya uhaini lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Lissu: Poleni ila Amini Mahamba niko nae siku nzima kesho

    Wakuu, Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu itaendelea kesho Agosti 11, 2026 saa tatu asubuhi katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo ndipo shauri hilo linaposikilizwa. Neno la Lissu leo akiwa anatoka Mahakamani mara tu baada ya kesi yake ya Uhaini...
  2. JamiiForums Tanzania Mnyika: Jeshi la Polisi lipuuze taarifa za uongo za Polisi zinazodai CHADEMA itafanya vurugu kumuokoa Lissu

    Kuelekea kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika ametoa wito kwa jeshi la Polisi kuupuzia taarifa za uongo wanazodai za 'Kiintelijensia' za baadhi ya Polisi kuwa wamepata taarifa wanachana wa chama hicho watafanya fujo na vurugu ili...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Akili kama ya Lissu ni aibu kwa Taifa kuiweka gerezani

    Nchi zilizoendelea hutamani kuwa na watu wa akili kama ya Lissu, akili ya kusaidia kuandika mikataba, akili ya kuandika Katiba akili ya kurekebisha ubora wa sheria. Hii akili anaijua Anna Makinda kipindi cha Bunge la Katiba.
  4. JamiiForums Tanzania Zitto: DPP akiachana na kesi ya Lissu bila masharti yoyote nchi itafaidika zaidi kuliko madhara ambayo wao wanayawaza

    Zitto Zuberi Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO akihojiwa na Clouds FM ameitaka ofisi ya kumuachi Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu bila masharti yoyote ili kuweka sawa baadhi ya mambo. Zitto amenukuliwa akisema... 'DPP akiachana na kesi ya Lissu bila masharti yoyote nchi itafaidika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Busara na Hekima wa Taifa hili, kweli hili limewashinda, mmeshindwa kumshawishi amwachie Lissu?

    Wazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni buaara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu. Butiku ameshakengeuka! Nani mwingine tumuongezee hapa.
  6. JamiiForums Tanzania Suala la Lissu kunyimwa chakula na Magereza limegusa na kuumiza wengi

    Hivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui? Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana na timu kubwa ya Mawakili wa serikali na chakula unamnyima? Hivi watu wakishangilia vifo vya watu...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Kuanzia sasa nakaa gerezani kwasababu ya Tarehe 29, kesi imekwisha hapa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na Kesi ya Uhaini inayosikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam amesema kuwa mpaka sasa kesi dhidi yake imeshakwisha kutokana na ushahidi ambao umetolewa mpaka sasa na mashahidi watatu wa Jamhuri. Ameongeza kuwa kitakachoendelea...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Nkindikwa: Lissu amekuwa gumzo ndani na nje ya nchi, achana na hii kesi Rais, inatia doa serikali na mahakama

    Kada mwezangu wa CCM hapa umesema ukweli kabisa> Bi mkubwa amuachie huru kabisa huyu jamaa aendelee na harakati zake za siasa na chama chake. ============ Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), David Nkindikwa (Kijana mzalendo) amemsihi Rais Samia Suluhu kuachana na kesi ya Tundu Lissu ambaye ni...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi kupiga picha Mahakamani kwenye kesi dhidi ya Lissu, ni utaratibu au vitisho?

    CHADEMA kupitia mitandao yake ya Kijamii, imetoa taarifa kuwa Jeshi la Polisi limeanza kupiga picha Mahakama Kuu Dar es Salaam ambako leo wanachama wa chama hicho wamekusanyika kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa chama hicho. ---- Tukio la Jeshi la Polisi kupiga picha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…