Amani iwe nanyi Wanabodi.
Leo napenda kuwaambia ukweli mchungu sana ambao inabidi tuupokee na kuufanyia kazi kweli.
Wanaotegemea Samia atabadilika na kuwa Kiongozi mwema atakayewapa Watanzania haki zao bila kuwepo kwa shinikizo (hofu) la kushtakiwa na kufungwa jela nawaonea huruma sana...
Link
https://otplink.icc-cpi.int/
Inachukua dakika 2 tu
Ambao mnaona uvivu kuandaa maelezo marefu mnaweza kutumia ChatGPT kueleza kwa ufupi kidogo kisha yenyewe ikakuandalia kila kitu ukacopy na kupaste. Ni salama kabisa unaweza kusubmit anonymously.
Sehemu ya kwanza weka Preliminary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.