Kesi ya ACT Wazalendo na Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi inayohusu kuzuiliwa kwa Bwana Mpina kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itatolewa hukumu leo saa 8:00 Mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma...