kesi ya kupinga tume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    PostGE2025 Kesi ya Kupinga Tume Ya Jaji Chande kusikilizwa Desemba 12

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Ijumaa hii ya Desemba 12.2025 majira ya saa 08 mchana inatarajiwa kusikiliza kesi Na. 30210/2025 iliyofunguliwa na Mwanaharakati Rosemary Mwakitwange na wenzake wawili (2) ambao ni Mawakili Deogratias Mahinyila na Edward Heche dhidi ya...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Kesi ya kupinga tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 inaendelea leo Desemba 10

    Leo, Jumatano Desemba 10.2025 kesi Na. 30210/2025 iliyofunguliwa na Mwanaharakati Rosemary Mwakitwange na wenzake wawili (2) ambao ni Mawakili Deogratias Mahinyila na Edward Heche dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Wajumbe Nane wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa amani...
Back
Top Bottom