Hali ya mvutano imetokea baina ya mawakili wa Jamhuri na baadhi ya mawakili wa upande wa Tundu Lissu, pamoja na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakigombea sehemu ya kukaa ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Mvutano huo ulijitokeza baada ya...