Goba bana kero ya maji kwenye hii mitaa yetu ni kero kubwa sana jamani, maji tunapata mara moja kwa mwezi na sio ya uhakika, tumeshalalamika mno, kiangazi ndo inakua balaa kabisa wakati huu wa mvua tukahisi kutakua na unafuu lakini wapi...
Tumeshalalamika mpaka kwa enzi za Naibu Waziri Mkuu...