kazi ya udereva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalali wa Mjini

    Wakuu naomba connection ya Kazi ya udereva

    Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu. Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva. Mimi ni professional Driver. Nimesoma Basic Driving Veta Cheti ninacho Nimesoma Professional Driver kwenye chuo cha National Institute...
  2. I

    Naomba kazi ya udereva (PSV au binafsi) – nipo tayari kuanza mara moja

    Wakuu salam, Nina umri wa miaka 27, na uzoefu wa kusafirisha abiria. Nina leseni ya daraja C1 na barua ya uwakiki ipo. Sasa wakuu, niko bench, maisha yameanza kuninyoosha na harakati sizipati… baada ya yote, niseme shida yengu nini? Ikiwa kuna nafasi yoyote ya udereva, PSV, shule, kampuni au...
  3. Halmashauri ya Jiji DSM

    Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
  4. C

    Maombi ya Kazi ya Udereva

    Wakuu... Napenda kuwasilisha maombi yangu ya kazi ya udereva katika kampuni, taasisi au Shule. Nina uzoefu wa zaidi ya kumi (10) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, C2, C3 na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja na kufuata sheria zote za usalama...
  5. A

    Naomba Kazi ya udereva boss Dar es salaam.

    Habari zetu wakubwa. Mimi nipo Naishi Dar es salaam. Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka. Naweza kuendesha Manual na Automatic. Lessen yangu ni daraja A,D,E na nilipita VETA yaani cheni cha udereva ninacho lakini ni basic driving. Nilijiunga mafunzo...
  6. James 25th

    Kazi ya udereva wa gari ndogo binafsi au kampuni

    Habari!!! Rejea kicha Cha mada hapo juu. Kwa majina naitwa JOSHUA JAMES. Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam, Mimi ni dereva Wamda mrefu katika uendeshaji na usafirishaji wa gari ndogo. Nipo mbele yenu Wana jamii forum, kwa lengo lakutafuta Kazi iwe ya kumuendesha mtu BINAFSI, kampuni au...
  7. Mung Chris

    Kazi ya udereva costa Dodoma

    Wana jamnvi, nina mdogo wangu yupo Dodoma anahitaji kazi ya coster special hire, ana leseni umri wake 26. Naomba msaada ili apate kazi hiyo. Atakaye fanikisha nikapata hiyo naahidi kumpa zawadi. Msaada jamani
  8. mr pipa

    Natafuta kazi ya udereva wa mabus au roli semi tella

    Nina uzoefu wa miaka 8 nimeendesha katika nchi tatu ikiwemo rwanda, kenya,pamoja na south Afrika Nina mepitia veta na nina cheti, nina leseni class E, C, B,D Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote kwa malipo yoyote sina tamaa Gari ambazo nazimudu pamoja na scania,schman, howo,faw, na zingine...
  9. suck Kweyamba anatory

    Nahitaji kazi ya Udereva, nipo Dar es Salaam

    NAPATIKANA DAR es salaam , gongo la mboto. Kazi ya uendeshaji magari pia pikipiki nipo tayari. Asante
  10. Mlalamikaji daily

    Anatafuta kazi ya udereva popote

    Habari nina kijana (wa kiume) anatafuta kazi ya udereva, Kumuendesha mtu, Kiongozi, Gari la shule, taasisi, kampuni n.k Kwa aliye na nafasi ya kazi please!
  11. M

    Natafuta kazi ya udereva

    Habari za mida wakubwa zangu! Naitwa Mzelela Ally, nina miaka 25 ni dereva na nimesomea VETA pamoja na N.I.T. course ya Public Service Vehicle na nina lesen Class A, B, D, C1, E pia nina uzoefu wa miaka mitano hadi sasa. Naomba kwa atakaekuwa na tenda za ajira ya udereva wa makampuni, binafsi...
  12. cold water

    Natafuta kazi ya udereva mkoa wa Ruvuma

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
  13. Iddizahoro

    Mimi ni dereva, natafuta gari dogo la kufanya kazi ya kuleta hesabu

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa xx natokea maeneo ya Mikwambe, Kibada, Kigamboni mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST, SIENTA, n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini. Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo...
Back
Top Bottom