kazi ya stationery

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Natafuta kazi ya stationery

    Habari, Mimi ni mdada natafuta kazi ya stationery. Nina miaka 26, nina utaalamu na uzoefu mkubwa wa kazi zote za Stationery na mauzo. Pia, nina ujuzi wa Graphic Design na nina ujuzi wa kutumia mashine ya Heat Press Sublimation kuprint mugs, chupa, na T-shirts. Naweza kutengeneza picha mbao na...
  2. wayeka

    Kazi ya Stationery

    Anatafutwa kijana wa Stationery awe anajua vizuri computer na pia awe anaishi Dar. Wasliana nasi kwa namba +255 684 553 947.
  3. M

    Natafuta Kazi ya Stationery

    Habari, Natafuta Kazi ya Stationery. Nina cheti cha Computer na nina uzoefu wa Kazi ya stationary and internet cafe kwa muda wa miaka 6. Mkoa;- Dodoma, Dar es salaam na Iringa. Mkoa ninao ishi kwa sasa ni Mbeya. Age 25
  4. Dignah

    Natafuta kazi ya Stationery

    Natafuta kazi ya kufanya kwa Stationery. Nipo Dar es salaam
Back
Top Bottom