Ukisikiliza hii video ya huyu Gen Z utaona mwendelezo wa tabia isiyo ya kawaida katika jamii, hasa viongozi wanapofariki, wananchi badala ya kuomboleza hucheka na kufurahi. Katika siku za hivi karibuni, vifo vya viongozi wa umma vimekuwa vikikabiliwa na kejeli, mzaha na kubezwa badala ya huzuni...