kazi na utu tunasonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marioo adakwa adanganya, nyimbo yake kupokelewa vizuri, kumbe miyeyusho, spana ziendelee spana na utu tunasonga mbele

    Baada ya nyimbo ya Mario kufanya vizuri kwa kigezo eti wamemsamehe Gen Z, pitapita raia wakashtukia mchezo mbona namba zinakimbia, baada ya kuangalia kwenye sehemu ya views namba zimekosewa kuandikwa computer haidanganyi, jamaa anajitekenya na kucheka mwenyewe. Wale si watu halisi zile kama si...
  2. Watumishi, wakulima, wanachuo, wanafunzi, wafanyabiasha, vijana, akina Mama, wazee, wanasiasa na sector binafsi. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.

    Husika na mada tajwa hapo juu. Hayo makundi yote hapo juu. Kwa niaba yao nasema Asante Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Umeyatendea haki makundi yote hapo juu na mengine ambayo sijayataja, hii ni ibada tosha kwako. Mfano baada ya Mh Rais kuongeza mshahara nadhani ametajwa kwenye kila...
  3. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE: Tundu Lissu apewa kila anachohitaji gerezani

    Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote. Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA...
  4. PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera apongeza kauli mbiu mpya ya CCM "Kazi na Utu Tunasonga Mbele"

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekishukuru kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa [NEC] kilichoketi Mach 10, 2025 kwa kutoka na kauli mbiu ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Akieleza kuhusu kauli mbiu hiyo, Faris amesema kauli mbiu hiyo...
  5. PreGE2025 Uchambuzi wa Kauli Mbiu ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025: Kazi na Utu, Tunasonga mbele

    ๐—จ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐˜‚๐—น๐—ถ ๐— ๐—ฏ๐—ถ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—–๐—–๐—  ๐˜†๐—ฎ ๐—จ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ด๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ: "๐—ž๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐˜๐˜‚, ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐— ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ" ๐—ก๐—ฎ. ๐—๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ, ๐—ง๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜๐˜‚ - ๐—จ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ท๐—ฎ Kauli mbiu hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 inabeba dhana kuu tatu: Kazi, Utu, na Maendeleo (Tunasonga Mbele). Hizi ni misingi muhimu inayolenga...
  6. PreGE2025 CCM waweka ukomo nafasi za Ubunge na Udiwani Viti Maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ