Kijana kakikacha chama chake bila shaka kafuata maokoto ya CCM
=================
Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Vijana Wa CHADEMA (BAVICHA
Alon Kalomba amemuhakikishia Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Tarehe 29, Oktoba hakutakuwa na Maandamano.
Alon ametoa kauli hiyo kwenye mkutano...
Katibu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) jimbo la Lupembe, Abedinego Sunday Sanga, anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akiwa katika duka lake la madawa eneo la Matembwe, Halmashauri ya Wilaya ya Njombe.
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Njombe, Seth Vegula...
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.
Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana...
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limefanikiwa kudhibiti maandamano ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika siku ya leo katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza hasa katika wilaya ya Ilemela na Nyamagana.
Akizungumza na waandishi wa habari...
Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo,
Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi
"Nitaliita jeshi la polisi ambalo lina dhamana ya kuilinda amani, usalama na...
Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza.
Pia Soma: Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Ameandika...