"Wakati Mzuri leo katika ofisi Ndogo za Chama na katibu wa NEC, Itika na Uenezi Mpya wa CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka.
Nimetumia wakati huo kumngata sikio juu ya matarajio yetu kwa chama na serikali katika sekta ya habari, sanaa na Burudani, ameniahakikishia changamoto zote zitafanyiwa kazi na...