katibu mkuu chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hivi John Mnyika angekuwa na Digrii ingekuwaje? Kama ana six na ana nondo kali kama hizi?

    The guy is good. MwananchiNews nimesoma kwenye habari yenu kuwa mmenipigia sikupokea. Fahamuni tu kuwa wakati mnapiga nilikuwa naendesha mafunzo ya Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi Chademawz Mkoani Tabora. Ingekuwa vyema kwa jitihada zenu hizo hizo mkawauliza @tanpol kwanini hawajatoa...
  2. SI KWELI John Mnyika ajiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA

    Mbona mmekaa nayo kina John Mrema au hamtaki watanzania wajue...? Pole sana kamanda Mnyika ila nakupongeza kwa uamuzi huu muhimu na Mkubwa uliochokiamua ni ishara Tosha kuwa hukubaliani na wizi unaoendelea ndani ya Chadema
  3. Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

    Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na kufanya majukumu yote ya Katibu Mkuu wa Taifa. Wakati huo huo COVID 19 nao wamejiapiza kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…