Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba
Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), Sabasaba, yanayoendelea.
Kauli hiyo imetolewa na...