Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Haji Manara, amewataka wamiliki wa malori ya mizigo yanayoingia katikati ya jiji kuhakikisha wanazingatia sheria na kanuni za usafirishaji, hususan uzito unaoruhusiwa katika barabara hizo.
Akizungumza usiku wa kuamkia leo, Septemba 26, 2025, katika shughuli...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, ameahidi kuwafikia wapiga kura wote wa kata hiyo ili kuwaomba kura, akisisitiza kuwa bado ana nguvu na ari ya kufanya kazi hiyo kikamilifu.
Soma Pia: Mgombea Udiwani kata ya Kariakoo Haji Manara akiomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.