karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika ====...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji

    Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Wapiganaji hao waliugeuza uwanja wa kuchezea kandanda kuwa 'kichinjio' , ambapo walikatakata miili ripoti nyengine zinasema. Watu kadhaa pia walikatwa vichwa katika kijiji...
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

    Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera. Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
  4. JamiiForums Tanzania Karibu tujifunze C++

    Kwanza kabisa bila kuboa tuanze na historia ya C++ ; C++ programming languagee ilitengenezwa (vumbuliwa) na Bjarne Stroustrup na timu yake ijulikanayo kama team bell maabara (at & t. USA) kusaidia utendaji kazi wa programm za computer kufanya kazi kwa njia ya usahihi. Toleo la awali mwanzo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Fursa mpya ya zao la Macadamia

    Habari yenu wakuu hapa JamiiForums. Kwa namna ya pekee kabisa tunatoa shukrani zetu kutoka kwa wadau mbalimbali waliotoa maoni juu ya tread yetu ya kwanza kuhusiana na zao la parachichi mkoani NJOMBE. Leo tunawaletea ELIMU juu ya zao la macadamia. KARIBU KWENYE FURSA MPYA YA MACADAMIA. NUTS AU...
  6. JamiiForums Tanzania Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi? WANAOUNGA MKONO HOJA ya kuajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu wanadai ya kwamba, ndugu yako...
  7. JamiiForums Tanzania Tangu nifanye ukarabati wa nyumba ya mama yangu, napata pesa nyingi karibu kila siku. Vijana tuamke baraka zetu wanazo mama zetu

    Habari wakuu! Mama yangu ana watoto 8 nikiwemo na mimi. Wanaume tupo 4 na wanawake wako 4. Kati ya watoto hao mmoja ambaye ni brother wetu yaani first born ndiye ana Pesa . Hizi milioni kumi, ishirini kwake zinapita mara nyingi tu sema ana roho mbaya sana. Anashindwa hata kuwajengea nyumba...
  8. JamiiForums Tanzania Google phone app sasa inapatikana kwa simu karibu zote za Android

    Call app bora kabisa ya kwenye simu ya Google Phone App sasa inapatikana kwa karibu simu zote za Android kwenye Google Play Store kwa ajili ya kupakuliwa. Hii Google Phone App ilikua maalum na mahususi kwa ajili ya simu za Google, Pixel ila sasa inaweza kutumika kwa simu nyingine za Android...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Trump tested positive for Coronavirus

    Trump na mke wake Melanie wakutwa na virus vya Corona. Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe wakutwa na #CoronaVirus, amesema ataanza kukaa karantini haraka iwezekanavyo Rais Trump alipima baada ya msaidizi wake, Hope Hicks KUkutwa na maambukizi na kufanya maambukizi ya #COVID19 kuingia...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Karibu handbags kwa bei rahisi

    Nawakaribisha dukani kwangu Manzese Tip top kwa bidhaa bora za handbags na pochi za wadada. Simu 0759891571
  11. Y

    JamiiForums Tanzania karibu ku-share top 5 ya mitandao yako ya kijamii

    natumai hamjambo wakuu, karibuni hapa ku-share top 5 ya mitandao yenu pendwa ya kijamii, binafsi listi yangu ipo hivi: 1.Jamii forums 2.Jamii forums 3.Jamii forums 4.Quora 5.Mocospace
  12. JamiiForums Tanzania CCM tambueni kuwa Tundu Lissu siyo muoga na sheria anaijua vizuri. Mwisho wenu uko karibu

    Yaani CCM walivyopaniki na kuanza kutukana katika kampeni zao ni wa kuonea huruma. Tena wasimfananishe Lissu na Dr Slaa au LOWASSA, haya yote ni makali ya CCM. Lissu ni mpinzani halisi ambaye hata siku moja hawezi kuisema vizuri CCM wala mgombea wake. Kuamini kua CCM wengi wao hawatumii akili...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

    HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!
  14. JamiiForums Tanzania Tusijidanganye, kwa aina ya uongozi na mifumo ya nchi hii, kamwe hatuwezi kuwa hata karibu na Ulaya

    Hilo lipo wazi, ukiangalia ulaya ulivyo unaweza ukastaajabu na kujiuliza tunakosea wapi. Designers wetu wa miundombinu na mipango miji sielewi huwa wanatoa wapi mifano ya kazi zao. Hapa chini ni highway za uholanzi,unaweza kuota kuna gap kubwa saana kati ya commuters wanaoenda na wanaorudi...
  15. JamiiForums Tanzania Hoja za Tundu Lissu kuhusu wafanyakazi Kama NI kweli NI kiberiti karibu na karibu na pipa la petrol akipita mwehu karibu zinaweza kulipua taifa.

    Hivi Tundu lissu NI mkweli kweli!? Kama wafanyakazi tena wa serikali wakibinywa wanashindwa kujitetea Basi hakuna kundi lolote kwenye jamii linalowezaweza kufurukuta kujitetea linapokandamizwa au Kuonewa. Kuonewa wafanyakazi NI hatua ya juu kabisa ya uonevu katika utawala. Usitegemee...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Wanabodi, Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
  17. JamiiForums Tanzania NHIF yaja na makali zaidi kwa Watanzania, yaondoa dawa lukuki kwenye orodha ya dawa zinazonufaika na malipo ya bima

    NHIF imekanusha taarifa hizi: NHIF yakanusha kuondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake Makali zaidi, kasi zaidi. Sasa makato yetu yana faida gani? Huu ni unyonyaji wa aina yake.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ile amri ya kutopiga mziki karibu na makazi ya watu limefutwa?

    Habarin Wadau Kama kichwa cha Habari kilivyo hapo juu. Kumbu kumbu yangu inanikumbusha awali iliwahi kutolewa katazo la kupiga miziki karibu na makazi ya watu sikumbuki exactly ni mwaka gan lkn ni ndani ya awamu ya sasa ila ajabu kwa sasa naona mambo vice versa ni miziki inavurumishwa kuanzia...
  19. JamiiForums Tanzania Karibu tukutengenezee ramani za umeme kwa majengo mbalimbali kwa gharama nafuu

    Habari wana Jamiiforums mimi ni mhandisi umeme upande wa ushauri, kwa yeyote mwenye uhitaji wa kuandaliwa na kutengenezewa michoro ya umeme(lighting with power system) pamoja na mfumo wa vifaa vidhibiti moto (fire detection system), karibu tukuhudumie tunafanya kazi ya kuandaa michoro kwa muda...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini 2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini 3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe 4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka . Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…