kapteni tesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kapteni Tesha alipotelea wapi?

    Well, well, well…… Tulibezwa na kutukanwa sana sisi ambao tulimtilia mashaka yule mtu aliyejiita Kapteni Tesha. Tuliitwa kila aina ya majina isipokuwa jina la mwana wa mungu. Miezi kadhaa imepita sasa tokea ajitokeze na tokea Watanzania wachinjwe na risasi za Samia lakini huyo Kapteni Tesha...
  2. Kapteni Tesha na vita ya Majimaji

    Wananchi walihamasishwa kipumbavu na wapumbavu kwa kumchonga mpumbavu waliyemwita Kapteni Tesha. Kapteni Tesha na wenzake walijenga picha kuwa jeshi la JWTZ liko nyuma ya maandamano/mapinduzi ya Oktoba 29 hivyo kuwataka wajitokeze kwa wingi kwenye mapinduzi yale. Hii haina tofauti na...
  3. Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa. Ni kinyume na sheria pia

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
  4. M

    GE2025 Bwege: Aliyosema Kapteni Tesha ni malalamiko ya wananchi, nakubaliana naye isipokuwa suala la jeshi kuchukua nchi

    Selemani Said Bungara 'Bwege' Ameyasema akizungumza na waandishi wa habari Manzese, jijini Dar es Salaam, Oktoba 18, 2025 amesema anakubaliana na hoja zote alizotoa Kapteni Tesha kwani ameongea yaleyale ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wanaharakati wa demokrasia pamoja na wananchi kwa ujumla...
  5. Kwa alichofanya Kapteni Tesha, tunajifunza nini toka Madagascar

    Japo neno kukinukisha linaweza kusababisha mashtaka ya uhaini uchwara, majirani zetu p Pale chini, Madagascar wamekinukisha. Je, ni ajali kuwa kufanya hivyo kumekuja siku chache baada ya Kapteni John Charles Tesha kukinukisha? Rais wao Andry Rajoelina amekimbia nchi baada ya kugundua kuwa the...
  6. GE2025 Msigwa akijibu kuhusu Kapteni Tesha: Watanzania tusithubutu kuchokonoa Jeshi la Ulinzi, tusilihusishe na Siasa

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akijibu Kapteni Tesha baadaya video yake kusambaa mitandaoni, amesema, Watanzania tusithubutu kucheza na maswala yanayohusu Jeshi letu la Ulinzi hiki ni chombo chetu nyeti, ndiyo taasisi yetu ya mwisho ya kuhakikisha mipaka yetu, na sisi tuko salama. Soma...
  7. Kaishia wapi Kapteni Tesha au zengwe la kututoa kwenye hoja?

    Baada ya kuja kindakindaki na kutoa tamko kali, yuko wapi Kapteni John Charles Tesha au lilikuwa zengwe la kututoa kwenye hoja muhimu wakati huu wa kuelekea kwenye uchafuzi? Kweli Tanzania ni nchi ya sanaa na usanii! Kweli wamejua kutupata na kutupiga changa la macho, Napiga kelele kimya...
  8. Tahakiki: Hotuba ya Kapteni Tesha inataja sababu, uwezo na nia ya kuiangusha serikali ya kiraia iliyopoteza uhalali wa kikatiba

    https://youtu.be/H1nHdmCnduI Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya. Utangulizi Jumamosi ya tarehe 4...
  9. CCM tokeni hadharani Mlaani kauli ya Kapteni Tesha

    Chama changu CCM kimenisikitiisha sana. Kwanini wameshindwa kutoka hadharani kulaani kauli za uchochezi za kuvunja amani ya Nchi za Kapteni Tesha? Yaani hata Murilo Kaufyata!? Ni huzuni Huyu afande anasema yoyote ajitokeze alite fyefyefye au fyofyofyo.. Anasema wapo kwaajili ya kulinda Nchi
  10. Picha: Ile Press aliyofanya Mlunga jana kumjibu Kapteni Tesha naona wameilipia tangazo huko Youtube

    Wakuu, Hivi hizi hela hawa jamaa wanazotumia kwenye hizi propaganda zao si ni kodi zetu Watanzania? Mbona kama mfumo umepaniki sana?
  11. GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

    Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu. Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM. Watanzania nawajua vizuri mno. Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia...
  12. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

    Zingatia: "Hoja hizo zinatolewa na watu waliopo mazingira ya kijeshi" Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuingiza Jeshi katika...
  13. Online Media: Video ya Kapteni Tesha siyo halisi, imetengenezwa kwa akili mnemba (AI)

    Baadhi ya Online media zimeandika taarifa ambayo ikieleza kauli alizozungumza anayetajwa kuwa ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikieleza Nchi ya Tanzania ikiwa imefikia pabaya. Lakini inaonekana kama ni maagizo ambayo yametoka na kuanza kukanusha kwamba alichozungumza ni sahihi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…